Way Operators & Cleaners Enterprises Co. Limited
Ni kampuni inayojishughulisha na usafi wa maeneo
mbalimbali kama vile:-
1.
Usafi wa maofisi binafsi (ndani na nje ya mji)
2.
Usafi wa Supermarkets
na maduka makubwa ya jumla
3.
Usafi wa benki na magorofa yenye ofisi
mbalimbali
4.
Usafi wa nyumba mpya na majengo mapya
(yaliyomalizika kujengwa)
5.
Usafi wa kumbi za starehe na harusi (mahoteli,
Migahawa, Clubs n.k)
6.
Usafi wa ndani na nje ya majumba
7.
Usafi wa ndani na nje ya majumba (nyumba za
wafanyakazi wa kigeni)
8.
Usafi wa ofisi za serikali (Wizara, Halmashauri
na nyinginezo)
9.
Usafi wa mahospitali, zahanati (maduka ya
dawa na maduka ya jumla)
10.
Usafi wa makanisa na misikiti
11.
Uandaaji na utunzani wa bustani za maua
12.
Usafi wa masoko
13.
Usafi wa barabara kubwa na ndogo
14.
Kupulizia dawa (fumigation)
15.
Occupational safety and health authority
16.
Mazingira

0 comments: